Hali ya taharuki imetokea katika shule ya sekondari Manzese jijini Dar es salaam baada ya zaidi ya wanafunzi 40 kupatwa na ugonjwa wa kuanguka ovyo na kusababisha kukatishwa kwa masomo na kulazimishwa wanafunzi kurudi nyumbani kwa kuhofia usalama wao.
1 comment:
sasa hayo mapepo yanawaingia wasichana tu?!!!
Post a Comment