Thursday, May 23, 2013

Idadi ya watu waliokufa kwenye vurugu Mtwara imefikia wawili.

Idadi ya watu waliokufa kwenye vurugu za mkoani Mtwara za kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar es Salaam imefikia wawili akiwemo mama mjamzito huku baadhi ya wakazi wa mkoa huo wakiwemo akinamama na watoto wakiyakimbia makazi yao kuogopa mabomu na kukimbilia hospitali ya rufaa ya Ligula kunusuru maisha yao

No comments: