Advertisements

Monday, May 6, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE

Kutoka shoto ni Yasin Randi, Benja Mwaipaja na Jabir Jongo katika picha ya pamoja kwenye KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitokacho kila Jumanne ya wiki, kipindi kinachopata umaarufu siku hadi siku na tunawashukuru mashabiki wa kipindi hiki kwa ushauri wanaotupa tunawaahidi ttaufanyia kazi ili kipindi chako ukipendacho kizidi kuvutia na bora pia tunapokea mada ambayo unafikiria itasaidia umma kwa kuizungumzia

No comments: