Thursday, May 2, 2013

KIINGEREZA CHAMUUMBUA DIAMOND


Kwanini Tusijivunie kutumia Lugha yetu Ya kiswahili,?? mpaka tutumie lugha za watu wengine?? tuwekama wa China.

Katika pitapita  instagram kuna picha ya msanii Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini.
bofya read more uone alichoandika Diamond
source:Instagram

3 comments:

Anonymous said...

kaka ! uko powa umejaribu! kuna watu wanishi apa US awajui iyi lugha!
acheni majungu JUMA DC

Anonymous said...

Wewe Juma wa DC...
Tunalia Kiingereza lugha ya watu, hii yetu ya Kiswahili mbona bado inakupiga chenga???
apa ....... Hapa
awajui...... Hawajui
Iyi............. Hii

Yaani sentensi ya maneno 14, matatu umechemsha.
Sasa wewe Juma unajigamba na lugha ipi???
Kiswahili unachemsha, Kiingeraza ndio mbumbumbu kabisa. Hivi katika dunia hii ya utandawazi tutakuwa wapi????

mohamed ussi said...

hapa nimepigwa bao la kisigino sijuwi wamekusudia kuzungumza nini sijakipata kiswahili wala kiengereza naona nyota tu