ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 7, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

10 comments:

Anonymous said...

Leo mmenena ukweli mtupu watu wanaficha magonjwa hadi kifokina wakuta wanaogopa kuchekwa....Benja ana chekesha sana.

Anonymous said...

hahahahahahah....nimechekajeee! nyie watu u funny...father house embu niambie nikae ndani while uko unapiga masaa uone kama utaosha hata kijiko. niwe napika na kupakuwa tu, au kama nafanya kazi basi niwekee hausigeli. sikujua swala la kusimama kwa sinki linaleta mushkeli kijiweni!

Anonymous said...

hilo swala la kutangaza ugonjwa hata mimi i can't. wabongo ukiwaambia unaumwa nini utakutana na washauri, ma-doctor, waganga wa jadi na mtishamba yao, na wengine wataamua kuku-diagnosis kivyao. mara huyu atakwambia unywe maji ya m-arobaini, huyu atasema unywa mafuta ya samaki basi alimradi tu. mie binafsi nilishawahi kutangazwa nina ukimwi na wabongo hao hao kisa nililazwa from child birth complications. wabongo ni nomaaa

Anonymous said...

wanaume wa kibongo marekani wameolewa mnabisha? credit zao mbaya hata mkopo wa baiskeli hawawezi kupata, apartment hawezi kuweka jina lake so lazima amtegemee mwanamke. marekani bila credit utaiona chungu, na mara nyingi wanawake ndo wana credits nzuri

Anonymous said...

bongo watu siyo masikini ni kwamba tumewaendekwza tu. mie kuna ndugu nilikuwa namsapoti kusomesha kumbe mwenzangu anapandisha magorofa mie kiwanja changu kina uzio tu. watu wa bongo think marekani watu tunachuma hela kwa mti kwa back yard

Anonymous said...

Benjamin unanifurahisha jinsi ulivyoongea!Isipokuwa hao jamaa wawili kidogo wanachanganya mlikuwa safari moja lakini ilipofika wakati wakujibu wameolewa au laah wakakuacha !wanataka kukimbia ukweli kwamba ndani ya nyumba hawaoshi vyombo!kipindi kinafurahisha pia kinaweza kuwafungua macho kwa watu wapya wanaoingia state !MPIGANAJI

awena abdalla said...

mambo ya kupika na kuosha vyombo si mambo ya mwanamke 2, mambo siku hizi kusaidiana ndio watu wanadumu. watu hawafati mafunzu ya Mtume wetu muhammad(s.a.w) ndio mana wana lalamika kuashana sijui kaolewa.

Anonymous said...

Benja tu ndiyo anaongea kweli hapo,hivi mambo ya kukaa mwanamke akakupikia akalea watoto wewe umekaa tu kazi kijiweni hayo mambo kweli hapo wote wanaosha vyombo hata kama wamenuna bena wape tu mfano unaamzia hapohapo kweli ukifata mambo ya kijiweni

Baraka Daudi said...

Wazee kipindi safi sana,buruuudani najichekea tu mwenyewe hapa. Kazi nzuri,endelezeni libeneke la kijiwe.Bravooooooo!!!! Kijiwe.

Anonymous said...

benja pekeyake anongea mambo ya kweli yasin na jongo hawana point