Waziri Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Hussein Ali Mwinyi akifafanua kipengele kimojawapo kilichopo kwenye kitabu cha Hotuba yake kuhusu Makadrio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka 2013/2014 kwa baadhi ya waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo baada ya kuiwasilisha bajeyo ya Wizara yake.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Msungwi akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikirsto ya Huduma, Peter Maduki leo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Picha na Magreth Kinabo - Maelezo Na Sufianimafoto.
No comments:
Post a Comment