Madereva watano wa malori wawili kati yao wakiwa ni viongozi wa chama cha madereva wa malori nchini-Chamamata's wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Pwani wakituhumiwa kwa makosa mawili ya kula njama za kutenda kosa na kufanya mkusanyiko usio halali.
No comments:
Post a Comment