ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 8, 2013

Mahakama Kuu ya TZ imewafutia mashtaka 3 ya kigaidi Bw. Wilfred Lwakatare.


Mahakama kuu ya Tanzania imewafutia mashtaka matatu ya kigaidi kati ya mashtaka manne yaliyokuwa yakimkabili mkurugenzi wa Ulinzi na usalama wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema bwana Wilfred Lwakatare na mwenzake baada ya kubaini hayana Mashiko ya kisheria.

No comments: