ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 9, 2013

MASHARTI YA KURUDI CHUONI WANAFUNZI WA IAA BAADA YA VURUGU ZILIZOTOKEA

1 comment:

Anonymous said...

Sidhani kama elimu yetu inafaa kuwekwa katika viwango vya dunia. Mwanafunzi anatakiwa apitishe maombi kwa mkuu wa wilaya na muhasibu mkuu wa serikali halafu maombi yafike chuoni kabla ya tarehe May 16 2013. Sijui mkuu wa wilaya na mhasibu mkuu wa serikali wanakuwa hana shughuli za kufanya ila wakeo ofisini kusubiri maombi ya hawa watoto. Yote haya wanatendewa hawa watoto eti kwa sababu walimzomea mkuu wa mkoa na kumshangilia mbungea wao Lema. Waliotoa maamuzi haya ni wasomi.