Saturday, May 4, 2013

MISA YA MPENDWA WETU MZEE ALFRED TANDAU, DMV



Mzee Alfred Tandau Enzi ya uhai wake
Uwezo Tandau na Andrew (K.P)Tandau waishio DMV wanawakaribisha kwenye misa ya mpendwa baba yao, marehemu Mzee Alfred Tandau itakayofanyika kesho Jumapili May 5, 2013 kuanzia saa 7 mchana  address ni 
6513 Queens Chapel Rd, 
Hyattsville, MD 20782 
na baada ya misa kutakua na chakula cha pamoja na kuwapa pole wafiwa. Nyumbani kwa wafiwa hapa Maryland kwa address hii:
17 Gas Light Court, 
Gaitherburg, Md 20879.
Kwa maelezo zaidi pia unaweza kupiga simu kupitia number hizi,
Andrew Tandau 
# 240 421 8392. 
Uwezo Tandau
 #240 476 0094. 
Jacqueline Korassa
 # 240 706 6831.

Tafadhali zingatia muda na upatapo taarifa hii usiache kumtaarify mwenzio.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa na juna lake lihimidiwe, Amin

No comments: