Sunday, May 26, 2013

mkutano wa Injili Washington Ency Mwalukasa na Fay Destiny wawasha moto

 Mchungaji akitoa mafundisho kwenye mkutano wa Injili unaoendelea DMV
Juu na chini ni Mhubiri Bishop Joseph kalema akihubiri na kufundisha juu ya ukuaji wa kanisa katika siku hizi za mwisho. 
leo ndiyo siku ya mwisho ya mkutano katika kanisa la cathedral of praise
  Juu na chini ni Mwimbaji wa nyimba za injili Fay Destiny (kushoto) akiwasha moto kwenye mkutano wa injili unaomalizika leo Jumapili May 26, 2013 2500 Enterprises Road, Bowie, Maryland, 20721.
Juu na chini ni Mwimbaji maarufu kutoka Tanzania Mwinjilisti Ency Mwalukasa akiwasha moto katika m kutano wa injili unaoendelea washington Dc katika kanisa la cathedral of Praise
Mkutano unamalizika leo jumapili saa 7pm ( 1 usiku).
kwa picha zaidi bofya read more

 Mkutano wa neno la Mungu unaoendelea tena leo Jumapili ukiwashirikisha Mwimbaji maarufu kutoka Tanzania Mwinjilisti Ency Mwalukasa na Fay Destiny
 Mwimbaji maarufu kutoka Tanzania Mwinjilisti Ency Mwalukasa na Fay Destiny wakiwasha moto kwenye mkutano wa injili unaoendelea DMV

No comments: