Sunday, May 26, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND NDANI YA UKUMBI WA SOFTEL NA BIRTHDAY PARTY MINNEAPOLIS, MN.

 Birthday lady Kisha akiwa ameshika glasi ya mvinyo mkononi ukumbini hapo
 Mshereheshaji wa shughuri hiyo akiongea jambo ukumbini hapo
 Kisha akifungua muziki uliokuwa unapigwa na Dj Dennis mzee wa Tha Funk House
 Kisha akiwekewe mvinyo kwenye glasi yake 
 Mvinyo uko full tayati kwa kuwaongoza wageni kugonganisha glasi kama ishara ya kufurahi pamoja siku ya tarehe yake hiyo ya kuzaliwa
 Dj Dennis kazini kama kawaida, Kwa picha zaidi bofya read more



1 comment:

Anonymous said...

Happy Birthday Shosti!