ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 8, 2013

MNAKARIBISHWA KWA MARA YA KWANZA @NEW TANZANIA PLACE JUMAMOSI HII YA TAREHE 11 MUSIC KUANZIA SAA 4 USIKU HADI MAJOGOO


Hii ni sehemu ya vinywaji kwa wale wanaopendelea kupata kinywaji pia kutakuwa na chakula na vitafunio . Ukiwa Tanzania Place utapata burudani ya muziki wa bongo flava, rusha roho na bolingo. Kila jumamosi usiku kuanzania saa 4 usiku hadi saa 10 alfajili. Dress impress and its free of charge.
Atlantic Ave & Logan St Brooklyn, 
NY 11208
For More Information Call this # 347-475-4313.
Sehemu kubwa na yenye nafasi kwa kuchezea muzic kama unavyo ona katika picha.
 KILA JUMAMOSI USIKU KUTAKUWA NA MUSIC KUTOKA KWA DJ BILAL NA GUEST DJZ KWA MUSIC WA KITANZANIA BONGO FLAVOR RUSHA ROHO NA BOLINGO 

No comments: