MTOTO AMBAE ALIZALIWA NA HIV+MAMA YAKE KUFARIKI SASA MTOTO HUYO NI NEGATIVE
Mtoto huyu alizaliwa HIV+ mama yake alifariki amelelewa kituo ni hapo tangu kazaliwa sasa hivi ni NEGATIVE Mungu ashukuriwe Kapona kabisa. Hapa mtoto huyo akiwa mikononi mwa Mh. Cathy Magige.
2 comments:
Anonymous
said...
Hi,Muheshimiwa Cathy Magige,Habari za saa hizi?mimi nilikuwa na swali je huyo mtoto baba yake bado yuko hai?nimeuliza hivyo kwa maana nataka kum adopt aje nimlee hapa in America,mimi ni rahia wa hii nchi tokea siku nyingi sana nahitaji mtoto wa ku adopt from my country nategemea kuja Dar es salaam this summer kufanya proces ya ku adopt mtoto.Je nitaweza kukupataje?Please send your info thru vijimambo blog.Asante.

una maana gani "kituoni" hapo..????? hicho kituo hakina jinaa...????kama twataka toa msaada kwenye kituo hicho tutatoaje..????
Post a Comment