Monday, May 13, 2013

Mtu mmoja amekufa na wengine 3 kujeruhiwa ktk ajali ya Lori mkoani Mbeya.

Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya lori lililokuwa likisafirisha unga wa ngano kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Zambia kupinduka katika 
mteremko wa mlima Mbalizi, mkoani Mbeya
AJALI HII IMETOKEA KWENYE MTEREMKO WA MBALIZI ROLI HILO INASEMKANA LILIFELI BREKI

MAREHEMU SELEMANI JUMA SELEMANI ALIYEKUWA TINGO WA ROLI HILO AMEFARIKI PAPO HAPO








Mbeya yetu

No comments: