ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 13, 2013

AJALI YAUA MMOJA NA MAJERUHI 17 WALAZWA WILAYANI RUNGWE

GARI YA AINA YA COSTA T 399 AUD ILIYOGONGWA KWA NYUMA NA KISHA KUPINDUKA ENEO LA KANYEGELE UWANJA WA NDEGE WILAYANI RUNGWE
HUU NI UPANDE WA NYUMA WA COSTA HIYO
BAADHI YA WASIO WASAMARIA WEMA WAKITAFUTA FEDHA ZILIZODONDOKA KUTOKA KATIKA BASI HILO HATA HIVYO VIJANA HAO WALIZOMEWA NA WANANCHI WALIOFIKA KUTOA MSAADA
HILI NDILO ROLI LILILO IGONGA COSTA KWA NYUMBA NA KUSABABISHA AJALI HIYO NAMBARI YA ROLI T 712 CZC NA TERA LENYE NAMBALI T 444 CCZ LIKIWA NA SHEHENA YA MBOLEA
MOJA KATI YA MAJERUHI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU
BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI HUDUMA
BAADHI YA NDUGU WAKISUBIRIA KUWAONA NDUGU ZAO WALIOPATA AJALI
BAADHI YA WAGONJWA WAKISAFIRISHWA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA RUNGWE ILIPOTEMBELEA MAJERUHI WALIOPATA AJALI
Picha na Ezekiel Kamanga

No comments: