Wafuasi na wanachama wa Chama cha demokrasia na maendeleo-Chadema- wamepigwa na butwaa na kushindwa kuamini kilichotokeza baada ya hakimu mkazi Sindi Fimbo kushindwa kutoa dhamana kwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama hicho bwana Wilfred Lwakatare kutokana na hakimu anaesikiliza kesi hiyo kuwa nje ya ofisi kwa dharura ya siku 14.
No comments:
Post a Comment