Mwanadada huyu, kupitia mtandao wa kijamii wa twitter ameandika kuwa siku ya kesho huenda akaanza kufanya reality show yake @Divamimi "Tomorrow starting my Reality TV Show.... Think am Excited.... Soooo Excited."
Mpaka sasa bado hatujajua show hiyo imepewa jina gani halisi kama ilivyo yeneyewe na itakuwa ikirushwa wapi kwa watu kuweza kuiangalia ... Je PREZZOatakuwemo kwenye TV Show hii ??
Kuwa karibu nasi na endelea kutembelea GongaMx kupata zaidi kitakachoendelea kuhusu show hii ...
No comments:
Post a Comment