ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 19, 2013

MZEE ALLY KLEIST SYKES AFARIKI DUNIA JIJINI NAIROBI LEO

FAMILIA YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES (PICHANI) KILICHOTOKEA LEO MEI 19, 2013 KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI NAIROBI, KENYA, ALIKOKUWA AMELAZWA.


MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM. MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUWASILI JIJINI USIKU HUU.


MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO MEI 20, 2013 KATIKA MAKABURI YA KISUTU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUSWALIWA KATIKA MSIKITI WA KIPATA WAKATI WA SWALAT ALAASIR.


HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.


إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un. Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Surely we belong to Allah, and to Him shall we return.

No comments: