Advertisements

Thursday, May 30, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO WASHINGTON, DC


 Katika pita pita ya Vijimambo Washington, DC ilikutana na Matutu Nyabange mkurugenzi/CEO wa One Care Inc kuongea machache kuhusu kampuni yake hiye inayojishughulisha na mambo ya Health Care yenye matawi kadhaa kwenye majimbo mengine.
Moja ya ofisi za One Care Inc

Imekutana na mkurugenzi/ CEO wa ONE CARE INC
One Care InC is one of the fastest growing home care companies in US with several branches in
1. Philadelphia
2. North Carolina
3. New Jersey
4. Virginia
5. Massachussets
6. South Carolina
7. Washington DC

Providing Home health Care services,
Hospice and Mental health and also serving the Veterans

One Care was found by Matutu Nyabange

5 comments:

Anonymous said...

Hongera kijana wetu

Anonymous said...

Kaka hiyo namba mbona imekatwa(980-819-7705)au ni kanyaboya???????

Anonymous said...

Nashukuru Sana baba..
Pia tunatoa Ajira. Kwa wakazi wa Philadelphia Piga namba hii (215) 904-7564
ONE CARE INC team!

Anonymous said...

Kaka umehorozesha compuni yako iko Philadelphia, North Carolina,New Jersey,Virginia,Massachussetts, South Carolina & Washington DC.MKE WANGU ANAISHI MASSACHUSSETS MIMI NAISHI WASHINGTON DC NIMEANGALIA PUBLICK RECORD ILI KUPATA NAMBA ZA SIMU YA ONE CARE LICENSES NUMBER ZA BIASHARA ZAKO HAZIKO, STAFFING LICENSE IKO REVOKED JE KWA NINI UNAIDANGANYA JAMII YA WATANZANIA?

Anonymous said...

mkuu hapo juu nina kubaliana na wewe na mimi nimecheki kwenye public records huyu jamaa ameamua tu kuwa TAPELI wa hali ya juu ama sijui anataka watu wamuone yeye babu kubwa kumbe hana lolote kwanaza nime m gugo hana hata pa kukaaa sasa kama hana pa kukaaa anamiliki vipi kampuni kibao ? kijana acha hizo watu waliofanikiwa wote wanasehemu zao za kazo (ofisi) acha utapeli, nenda kapige box wewe dogo