Advertisements

Thursday, May 9, 2013

PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE

Sheikh Ponda akiongea na baadhi ya wanahabari nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja.
 Ulinzi uliimarishwa
Shangwe zilitawala nje ya mahakama.
Shangwe zilitawala nje ya mahakama.

(PICHA NA MAKONGORO OGING' / GPL)

1 comment:

Anonymous said...

Allah akbar alhamdulillahi rabbi laalamin karibu sana uraiani sheikh wetu mpendwa daima haki hushinda na ukisimama na mungu kwa dhabit mungu hakutupi Alhamdulillah rabbi laalamin

wache wakufunge hicho kifungo cha ndani kwani nchi unatafuta nini na waje wajifanye wajanja wao mungu mkubwa