RAIS KIKWETE AFARIJI MAJERUHI WA BOMU WALILAZWA HOSPITALI YA MTAKATIFU ELIZABETH ARUSHA
Taswira wakati Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya St Elizabeth jijini Arusha Mei 7, 2013 kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita.PICHA NA IKULU
2 comments:
Anonymous
said...
Yaani watu wako kwenye maombolezo nyie mnaonyesha picha za propaganda. Kuna mawili hapa: either serikali yetu haijali haya matukio ya ulipuaji/kuuana au inaelewa who is behind this. Haiwezekani kabisaaa matukio haya yanaongozana bila solution yeyote. Luke naomba sana upost message yangu-uzalendo kwanza.
Tanzania tuionayo leo hii si Tanzania ile ya enzi zilee aisee, Tanzania ya enzi zile ilikuwa ya Amani, Upendo, Utulivu na Ustaarabu. sasa hivi ni vurugu mtindo mmoja, imekuwa hovyo kabisa. Kilichobaki ni kusali tu maana hata serikali haiwezi. eeeh Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Post a Comment