ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 6, 2013

Sikiliza Interview ya Ruge Mutahaba ndani ya Power Breakfast "Afunguka kuhusu Lady Jay Dee"



4 comments:

Anonymous said...

Ruge ameongea kitu cha ukweli Lady Jay Dee lazima akubali matokeo..(kijiti) ampe mwingine hheheeeee kazi ipo.

Anonymous said...

Ruge hongera sana tumesikiliza mahojiano yako,nakubaliana nawe pale unaposema kuwa redio yako ni chombo binafsi kinahamua wimbo gani uchezwe redioni,lakini tuangalie ukweli katika ulioyaongea,
(a) Kauli yako inaonyeshawazi kuwa nia na madhumuni ya project yako si tu kukuza sanaa Tanzania bali kuuzika kaburini muziki wa dansi na wa taarabu ili muziki wa kizazi kipya ushike nafasi
(b) maelezo yako juu ya Jay Dee naona unaongea kwa uchungu wa kukatwa na kisu ulichokinoa mwenyewe
(c) kama kweli wewe ni Boss unayejali na kuyapigania maamuzi yako basi hii bongo fleva unayosema hisipigwe leo clouds acha usizipige kabisa harafu tuone nani ? anamwitaji mwinzie.
Ruge lazima ukubali kuwa katika historia ya muziki wa tanzania wewe ni mvamizi na mtu wa kuja.
Kila la heri

Anonymous said...

Ruge umeongea vizuri sana. Nakubalina na sehemu kubwa ya maelezo yako. Lakini nafikiri ume-loose control of your emotions ulipokataza kupigwa bongo-flavor siku nzima, jambo ambalo linatofautiana na dhamira yako ya kutokuwa na kinyongo na huyu binti. Hukuwa na sababu za kufika umbali huo.

Anonymous said...

Mimi nimemzarau ruge ajatenda khaki no way but Hawa wakina kusaga ndiyo Mafya wa mjini sasa tutafanyaje tuwasikilize tuu jade dee move on