Wednesday, May 1, 2013

TAFRIJA YA KUSHEREHEKEA MAISHA YA BABA PIUS LUKAMILWA

Irene Milembe na familia yake wanapenda kuwakaribisha kwenye tafrija ya Celebration of Life ya Baba yake Mr Pius Lukamilwa.Address ni 
7213 starboard Drive,
District heights MD 20747. 
From 6pm, dress code ni dress to impress and the color ni White For more details 
Irine 571 501 0122,
Sarah 206-288-3947,
Charles Katera 202-321-9655,
Mayor 301-806-8467,
Carol Mbilinyi 240-938-4688

5 comments:

Anonymous said...

Jamani huyu mzee alifariki lini mbona hatujawahi kusikia Irene kafiwa. Je ameefiwa karibuni?

Unknown said...

alifariki 20yrs ago

Anonymous said...

samahani una mdgo wako anaitwa JOYCE PIUS yupo bongo?mna niliona kapost ujumbe wakumuenzi.

Anonymous said...

Samahani kama nakosea lakini waswahili sasa tumezidi jamani, mtu amefariki miaka 20 iliyopita tunasherekea maisha yake tunamjua wapi? pili kama ni mzazi wako basi muombeeni kwa mungu na misa kanisani maana huko ndio kitakachomsaidia. kama mna taka kufanya sherehe tu tafuteni sababu ingine na waliofariki waacheni wapumzike kwa amani. tupunguzege mambo yasiyomaana. kama mnajisikia kushereheka na pombe tutafute kijisababu kingine kama birthday, anniversary, kukaribisha summer, ziko sababu nyingi tu na tuwache waliolala kwa amani wasije kutulaani. Asante

Unknown said...

Ww anoy hapo juu samahani sana mind Ur business,cz cjakualika na cjakulazimisha.Na km mtu aliyekufa ni Baba yangu,wala wewe hayakuhusu nina haki ya kufanya chochote kile ninachokitaka,km ninafanya party au kulewa ni hayakuhusu cz cjaomba mchango wako wowote.Na km kulaaniwa,utalaaniwa ww na roho yako mbaya.Thanx