Friday, May 3, 2013

TASWIRA MBALIMBALI ZA DIAMOND PLATNUMZ NCHINI UINGEREZA

Rais wa Wasafi 
Diamond akipata juwa la UK ili kuongeza rangi ya mwili
Mganga wa Diamond ndiye huyu Jamanii
Akiwa mwenye Furaha pamoja na mwenyeji wake DJ Rule sijiwi walikuwa wanakiongelea nini!!
Mwanamme Pamba Bwana
Matanuzi yakiendelea pamoja na wasafi dances 
Tayari kwa kupiga misere mitaani
Hapa akipata lunch na Mr Hussein Kova @ Kova's house
Picha zote kwa hisani ya diamondplatnumz instagram

1 comment:

Anonymous said...

Vijana na mvinyo kweli mambo ya Ulaya matamu sana, Dubai haiendi hii.