Thursday, May 2, 2013

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAKABIDHI RIPOTI ZAKE MBILI KWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MKOANI DODOMA


akikabidhiwa ripotiMwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Aloysius Mujulizi akimkabidhi Waziri Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe Ripoti za Mapitio ya Mfumo wa Sheria za Haki za Madai na Tamko la Sheria za Kimila ambazo zimefanyiwa kazi na  Tume katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Dodoma katibu Tume 
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe akiangalia Ripoti alizokabidhiwa waziri 

No comments: