ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 22, 2013

UKIWA MWENYE ROHO NA IMANI YA KIBINAADAMU HII ITAKUGUSA

Upatapo ama ukiwa na bahati ya kuwa na uhakika wa kupata chakula mala 2 ama 3 kwa siku,uhakika wa sehemu nzuri na salama ya kuweka ubavu wako mshukuru sana mungu,itizame hiyo picha kuna watu wanaaishi hivyo,hawajui siku yaoinaaenzaje na itaishaje,hawajui watakula nini na sa ngapi.mala moja upatapo nafasi,kumbuka kusaidia wasiojiweza,usimpuuze asiye nacho,dunia ni zaidi ya uijuavyo,mambo hubadilika,ukajikuta leo unamwomba uliye mnyimajana

2 comments:

Anonymous said...

Geee inasikitisha sana, halafu tunaona viongozi wetu wanvyoishi kwenye mahekalu na magari ya kifahari. Siku moja wabongo mtaamka. It is very very sad. I just don't get it.

Anonymous said...

Inatia HUZUNI mno, jamani hawa watu wako wapi ili watu watoe msaada!