ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 15, 2013

UNAFIKIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA AMERICAN IDOL????

Kree Harrison
Candice Glover

Hawa ndio walishindana kwenye fainali ya American Idol na mshindi atatokana na kura zitakazopigwa na kutangazwa Alhamisi May 16, 2013, Kama uliangalia mashindano haya ya fainali, unafikiri nani ataibuka mshindi?

1 comment:

Anonymous said...

candice glover ataibuka mshindi najua hilo nikipatia unipe zawadi yangu