Unga wa ngano tani zaidi ya 700 umekwama bandarini Zanzibar
Unga wa ngano tani zaidi ya 700 umekwama bandarini Zanzibar baada ya kuharibika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar hadi sasa kushindwa kupata mahali pa kuangamiza hali hiyo imesababisha kuomba msaada wa kitalaamu kutoka serikali ya muungano.
No comments:
Post a Comment