Uuzaji holela wa mafuta umesababisha gari ndogo kuwaka moto.
Uuzaji holela wa mafuta aina ya petroli na dizel katika maeneo na shughuli mbalimbali za watu, imesababisha gari dogo Toyota saloon kuwaka moto na vibanda kadhaa kuteketea, eneo la uuzaji bidhaa hiyo katika stand ya mabasi ya zamani mjini tabora.
No comments:
Post a Comment