ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 15, 2013

VIDEO : BARNABA Na LINAH Kupiga Show Kwenye Miaka 13 Ya LADY JAYDEE ... Check Wakiongelea Tukio Kamili ...

Zikiwa zimebaki wiki kadhaa kufikia show ya mwanadada LADY JAYDEE kufanyika, mwanamuziki BARNABA na LINAH [THT] wameongelea ushiriki wao katikaMIAKA 13 ya mwanadada huyo ...

Hivi karibuni kulikuwa na minong'ono kuwa huenda kuna baadhi ya wasanii kutokaTHT ambao nao walikuwa kwenye orodha ya wasanii watakaotumbuiza siku hiyo huenda wasitokee siku ya show hiyo 

Wasanii hao ambao walitajwa kuwa ni BARNABA pamoja na LINAH walikuwa wakihisiwa kutokutokea siku ya show hiyo sababu huenda wanaweza kuwa wamezuiwa na kiongozi wa Tanzania House Of Talent (THT) ...
Hii ni video inayowaonesha wasanii hao wakiongelea show hiyo na ushiriki wao ... Itazame hapa chini :

1 comment:

Baraka Daudi said...

Barnaba na Linah bonge la collab. Hiyo ndio tunaita kipaji,kazi nzuri sana.Big Up