Thursday, May 23, 2013

VITU VYA LAZIMA KUWA UMEVITIMIZA AT AGE 40

1. Kuwa ndani ya ndoa.
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.

Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,

No comments: