Advertisements

Tuesday, May 7, 2013

RAIA WA IRAN WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

Raia wawili wa Iran wamehukumiwa kifungo cha maisha katika mahakama moja ya Kenya kuhusiana na mashtaka ya ugaidi.
Raia hao ni Ahmad Mohammed na Sayed Mousavi ambao walishtakiwa wiki iliyopita kwa kumiliki vilipuzi, ambavyo inaaminika vilikuwa vitumiwe kwa kufanya mashambulizi.
"mwili unanisisimka nikifikiria hasara ambayo ingesababishwa na shambulizi hilo la kigaidi," amesema jaji Kiarie Waweru Kiarie,

No comments: