Friday, May 3, 2013

Wakazi Mwananyamala wafunga barabara kushinikiza matuta kufuatiwa kugongwa mwanafunzi.

Wakazi wa Mwananyamala Ujiji maduka matatu jijini Dar es Salaam wamefunga barabara kushinikiza manispaa ya Kinondoni kuweka matuta katika eneo hilo baada ya mwanafunzi wa miaka nane kugongwa na gari na kufariki papo hapo.

No comments: