Friday, May 3, 2013

BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA KUNYONYWA MAFUTA YA TUMBO, YAMEMKUTA HAYA....!

Germa wa miaka 30 anasema "utadhani nimeng'atwa na Shark" mara alipozinduka na kuliona tumbo lake lilivyotepeta 
Urembo kaaazi kweli kweli, njia nzuri ni ya kufanya mazoezi kupunguza kitambi.
Akivaa nguo utamjua! ama kweli nguo husitiri mengi

No comments: