Wednesday, May 15, 2013

WATATU WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI KUPINDUKA BARABARA YA CHUNYA MAENEO YA MWANSEKWA

JINAMIZI LA AJALI LINAZIDI KUIKUMBA MBEYA WATU WATATU WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI LA KAMPUNI YA KICHINA LILILOKUWA LIMEBEBA KIFUSI KUKATIKA BREKI NA KUPINDUKA MAENEO YA MWANSEKWA BARABARA YA CHUNYA MCHANA WA SAA 7 MPAKA SASA MAITI MBILI ZIMETAMBULIWA NA MOJA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMBULIWA
BAADHI YA WACHINA WANAOTENGENEZA BARABARA YA CHUNYA WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO IKITOKEA


BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI KUPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA MPAKA TUNA TOKA HOSPITALINI HAPO TUMEACHA MAJERUHI WATANO WAKIENDELEA KUPATA MATIBABU

Picha na Mbeya yetu

No comments: