Wednesday, May 15, 2013

Rais Jakaya Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Dkt.Abdul RahmanAl Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt.Abdul Rahman Al Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation baada ya kumaliza mazungumzo nae ikulu jijini Dar es Salaan Jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Dkt.Abdul RahmanAl Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation jana

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Dkt.Abdul RahmanAl Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation jana.
Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: