Saturday, May 18, 2013

WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA AZINDUA KITABU CHA MTIKISIKO WA UCHUMI



  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam LEO. Katikati ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni iliyochapisha kitabu hicho ya Matokeo Publishers &Printers, Rosemary Sokile.
  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam jana. Kulia ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mchapishaji, Dk. Charles Sokile.
 Dk. Ngowi akisaini moja ya vitabu vilivyonunuliwa  jana. Kushoto ni Katibu Mkuu mstaafuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu.
Baadhi ya wadau waloshiriki kwenye uzinduzi huo.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments: