Wednesday, May 1, 2013

YANGA YA CHEZESHA KIKOSI CHA PILI NA KUKALIANA KOONI NA COASTAL UNION YA MKWAKWANI KWA 1-1

Mshambuliaji wa Yanga Jerryson Tegete akishangilia bao lake la pekee alillofunga kipindi cha kwanza akiwa na Said Bahanuzi na Nurdin bakari
Nizar Khalfan wa Yanga akiwa amebanwa vilivyo na mdogo wake Razack Khalfan wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa taifa, timu hizi zilitoka sare 1-1
Baadhi ya vikombe vilivyokuwepo uwanjani leo, hata hivyo vilishindwa kushehekewa vema baada ya Coastal Union kusawazisha 

No comments: