ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 10, 2013

ASIA MWILIMA APATA NONDO KUTOKA NEW YORK CITY COLLEGE OF TECHNOLOGY

Asia Mwilima akiwa na mavazi yake siku hiyo ya graduation, Asia amekula nondo ya Bachelor of Technology in Computer Information System. Hii ni Degree yake ya pili, ya kwanza ilikuwa Bachelor of Arts kutoka Islamic University in Uganda mwaka 1998. Vijimambo inakupongeza na kukutakia mafanikio mema katika elimu yako hiyo. 
Asia aki smile mbele ya ukodak wa vijimambo
Asia akipata ukodak  na rafiki yake Adela
Hapa akiwa na Mary 

3 comments:

Anonymous said...

Congratulations Asya Mwilima.Wish you much success in your future endeouver.

Anonymous said...

congrats dada...sky is the limit

Anicetus said...

Congratulations my best friend: No Back-PhD is the goal. Love

Temba