ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 15, 2013

BALOZI SEIF IDD AKUTANA NA UJUMBE WA PARESTINA, AAGANA NA BALOZI WA UHOLANZI ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI

 Katibu wa Sekriteriet ya CCM Uhusiano wa Kimataifa Balozi Asha-Rose Migiro akiteta jambo na Makamu wa pili wa Raiswa Zanzibar, Balozi Seif mara baada ya Ugeni wao kutoka Chama cha Kipalestina kuonana naye.
 Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha Ukombozi wa Kipalestina Taysear Ishled akiagana na Makamu waPili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza mazungumzo yao.
 Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza muda wake wa utumishi Nchini Tanzania ifikapoMwezi Julai mwakahuu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimpatia zawadi ya Kasha Balozi waUholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek kama ishara ya ukumbusho kutokana na utumishi wake mzuri hapa Tanzania. Pichana Hassan Issawa – OMPR – ZNZ.

No comments: