ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 23, 2013

DIAMOND NDANI YA COMORO ISLAND AKIPATA UKODAK WA KUMBUKUMBU

Baadhi ya picha chini zikimuonesha Msanii Diamond akiwa visiwa vya Comoro alipoenda kupiga show.

3 comments:

Anonymous said...

Diamond nakuzimikia sana kama mwana mziki ila hiyo style yako ya nywele ni mbaya sana. Umeanza kujiharibu sasa leo na kesho utaanza kupaka cream usoni kama wale wengine!!! Umewahi kumuona Kanye West au Jay Z au Usher wanapaka rangi za nyumba kichwani mkuu? Sijapenda kabisa na mie ni number moja fan wako hakunaga.

Anonymous said...

kula maisha kufa kwaja maisha yenyewe mafupi,............. ila usimsahau mola wako, utakwenda ulizwa.

Anonymous said...

Maisha sio mafupi