ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 9, 2013

DMV YAZIZIMA, CHAMELEON ACHENGUA MASHABIKI

Mwananmuziki wa UG FlavaChameleon JumamosiJune 8, 2013 aliwachengua mashabiki wake wa DMV kwenye makamuzi yaliyofanyika Rockville,Maryland nchini Marekani. Chameleon ambaye yupo Marekani kwa ziara ya kimuzidi ambapo kabla ya kutua DMV alitokea Washington State na baada ya hapa ataelekea Massachusetts nasehemu nyingenezo ikiwemo Canada. Pichani Chemeleon akiwa chamba cha mapumziko kabla hajaanza makamuzi.
Chameleon akiwa ananingia huku akipata picha na Dj.UmoshiFire.
Juu na chini Chameleon akiwapagawisha mashabiki wake waliofika Rockville kumshabikia.
Mashabiki wakipagawika huku wengine wakipata ukodak moment na video ya makamuzi ya Chemeleon.
Juu na chini Chameleon akiendelea na makamuzi.
Chemeleon akizidi kuwachengua mashabiki.
Juu na chini mashabiki wakiwa wamepagawa na Chameleon.
Kwa picha zaidi bofya read more.





4 comments:

Anonymous said...

Hii article ina maneno ya ajabu naona haija haririwa!!

Unknown said...

Tugende Mmasoo Chameleon

Anonymous said...

na hizo ribo za pinki ni za nini mkononi hembu nijuzeni wenzangu

Anonymous said...

dj luke plzz tuleteee huyo mtu huku columbus ohio tufurahiii,acha kutubaniaaa mshikajiii,wataka furahi peke yakoo?