ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 15, 2013

FULL MATUKIO 'ANAKONDA' ALIVYOTESA WATU JANA, WENGINE WARUDIA GETINI 'REST IN PEACE SHIDA'

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura 'Jay Dee' A.K.A Komando Machozi, Anakonda, akiimba jukwaani na Mwana Hip Hop, Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye ni msanii wa siku nyingi, Joseph Mbilinyi, Mr ii, wakati wa shoo ya Anakonda ya kusherehekea miaka 13 ya lady Jay Dee iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Nyumbani Lounge.
Katika shoo hiyo, iliyokuwa ya aina yake, mashabiki kibao walishindwa kuingia ukumbini kumshuhudia mwanadada huyo kutokana na umati mkubwa wa watu waliofika ukumbini hapo na kushindwa kuingia baada ya ukumbini huo kujaa mashabiki kupita idadi iliyotabiliwa.
Msanii akicheza na nyoka.......
'Goo Bye Joto, Rest in Peace Shida', ni kama alitabiria mstari huo katika wimbo wake wa Joto Hasira, hapa akiokota mijihela aliyotunzwa na mashabiki wake wakati akishambulia jukwaa....
Kimbembe kilikuwa hapa getini baada ya mashabiki lukuki kushindwa kuingia ukumbini humo, huku wengine wakiwa na tiketi zao mkononi.
Foleni ya mashabiki waliokuwa wakiingia ukumbini ......KWA MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

Sehemu ya mashabiki waliokuwa tayari wameingia ukumbini humo wakiwa tayari wamefurika ukumbini hali ya kuwa nje pia kulikuwa na nyomi la watu.....
Picha hii ikionyesha watu waliokuwa nje ya ukumbi na wengine wakiwa ndani.....
Foleni ya mashabiki ilianzia Best Bite.....
Mashabiki wakiwa wamesongamana getini wakigombea kutinga ukumbini...
Foleni ilikuwa ni mithiri ya nyoka iliyokuwa imejikunja kona kama nne hadi kufika getini hapo...
Foleni......
Hwa wakianzia foleni barabarani.....
Foleni.....
Msanii Joseph Haule, Prof Jay, akiimba jukwaani.....
Sehemu ya VIP ukumbini humo.....
Meza za VIP.......
Sehemu ya Viti vya kawaida.....
Burudani ikiendelea jukwaani.....
Shoo kali ikirindima jukwaani....
Binti Machozi akitunzwa mijihela na mashabiki wake jukwaani baada ya kuwapagawisha..
Mashabiki wakipagawa na madude ya Jay Dee....
Prof. Jay akiwapagawisha mashabiki.....
Jay Dee katika mtoko mwingine jukwaani......
Sugu na jay Dee wakishambulia kwa pamoja, habari na Sufiani Mafoto

No comments: