ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 15, 2013

HAPPY BIRTHDAY TO BIBI NJENJE AND BABU NJENJE

Vijimambo Team inawatakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa babu njenje na bibi njenje . Mungu awazidishie uhai. Happy Birthday.

1 comment:

Anonymous said...

wote wamezaliwa sawa siku mmoja?
kama ndo hivyo mashallah, kila la kheri na barka tele

mdau NY,BI NJENJE UNANIJUA MIYE NAKUKUMBUKA BADO