Jamani bibi Harusi ametoka vizuriiiiiiii sana! hiyo nguo ya bibi harusi ni nzuri sana. Halafu nimependa wengine wameambiwa wavae white. Ila nimeona tatizo ni kwamba watanzania bado hatuelewi umuhimu wa shughuli za watu kabisa, kwanini watu wanaongea kwenye simu kwenye sherehe kubwa kama hiyo jamani? ni ushamba ama madharau au upungufu wa fikra?? tabia hiyo ni mbaya sana. wengine hata hawafuatilii wana tuma messege, tena very busy. tabia hiyo ni chafu watanzania tustaarabike jamani. HONGERA SANA SHAMIM NA ABDALLAH MUNGU AWABARIKI.
ni kweli kabisa mchangaji wapo juu umesema kweli watu wengi bado washamba sana na visimu vyao yaani inakera sana yaani watu wakobussy na cm kuliko shughuli yenyewe hilo jambo mimi pia huniboa wenye hizo tabia badilikene kanakwamba mmeanza kujua cm leo heshimuni shughuli za watu
2 comments:

Post a Comment