ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 19, 2013

INASEMEKANA MTANZANIA HUYU AMEFARIKI BAADA YA MADAWA YA KULEVYA KUMPASUKIA TUMBONI AKIELEKEA ITALY

Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti, yakamkuta huko kweli drugs nomaaa
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umauti wake (vitu vimepasukia tumboni)

Wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi

3 comments:

Anonymous said...

Si wanawake tu hata wanaume na sana sana kwa siku nyingi walikuwa wasanii wa bongo fleva kablya ya watu kujuwa hilo. Si anakuja Ommy Dimpoz huko, tutasikia mengi tu. Vijana wa kibongo wengi kazi yao ni hiyo, mtu anasingizia mwanamuziki nyimbo zenyewe hana, kisha utasikia kaalikwa show Ulaya akirudi ana mamilioni yake baada ya kumeza sembe za watu. Inafanyika show, ndani kuna watu 100 ama 30, eti anarudi Bongo na milioni 20, inakuja kichwani kweli?

Anonymous said...

Piece too judgemental. There is always the other side of the story so one shouldnt be too quick to judge.

Anonymous said...

utavuna ulichopanda. Tamaa za maisha zinawapeleka kubaya, bora kazi za halali hata kama kipato ni kidogo