ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 7, 2013

JAFARY ALLY, MUME WA MALKIA WA MIPASHO KHDIJA KOPA AZIKWA LEO

Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi
Picha kwa hisani ya Bossngasa.com

1 comment:

Anonymous said...

inana lilahi waina illahim rajiun rahman akupe moyo wa subra bi khadija kopa na jua una uchungu mkali sana na hatopotea uchungu huu lakini kumbuka Allah kwamba hapa duniani tunapita njia kila mtu atakionja kifo kama si leo kesho siku ikipagwa yake

rahman akupe moyo wa subra

mdau yule yule NY