Kamati ya maandalizi ikifanya mazungumuzo ya mwisho mwisho na mhusika wa ukumbi Marceline (kushoto) kuhakiki mikataba yote kama ipo sawa na tayari kwa ajili ya July 6, 2013. Wapili toka kushoto ni Julius Katanga, anayefuatia ni Baraka Daudi (Mwenyekiti) na kulia ni Asha Nyang'anyi (katibu).
Ukumbi ukiendelea na matayarisho ya mwisho mwisho
Kutoka kushoto ni Julius Katanga, Mayor Mlima, Baraka Daudi na Asha Nyang'anyi wakishauriana jambo nje ya ukumbi.
No comments:
Post a Comment