| Kocha wa mchezo wa masumbwi Mohamed chipota kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo wake utakaofajika jumapili ya juni 16 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni kukabiliana na Patrick Kavako'Baunsa' wa Morogoro picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment